FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Mechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.

Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.

⏰ Mchezo huu unapigwa saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Mkapa

Kila laheri Mnyama...
Unleash the royal roar in your space with this maj.jpeg
 
FT 2-1(2-3) Simba tukutane mwakani
Nimeona matokeo baada ya kuchungulia sana kwakweli hata mimi yameniumiza😨
 
Back
Top Bottom