FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Amin🙏🙏
Ikawe hivyo
50 cent.gif
 
Mtani leo una furaha sana,
Nipe siri ya furaha yako
Nina furaha Mtani sababu mna asilimia chache sana za kusonga mbele na hii inatokana na nyie wenyewe hasa kwenye huu uzi vile mmejikatia tamaa. 😅
 
Back
Top Bottom