FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

❣️❣️ πŸ…ΊπŸ††πŸ…° πŸ…½πŸ…ΈπŸ…°πŸ…±πŸ…° πŸ†ˆπŸ…° πŸ…°πŸ†‰πŸ…°πŸ…Ό πŸ…½πŸ…°πŸ†‚πŸ…΄πŸ…ΌπŸ…° πŸ…ΊπŸ…ΈπŸ††πŸ…°πŸ†‚πŸ…·πŸ…΄ ❣️❣️
 
Kibu kaanza ujinga wake tena km kawaida, huyu rastaman hata haambiliki. Lol
 
Hata Madrid hawakuamini jana na leo hao Al Masiriri hawataamini
Hivi unawaona warabu walivorelax lakini!! Boli liko langoni kwao ilaa walaaaaa πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ•ΊπŸ•Ί!

Wana5imba Subirini kilio tu
 
Weka ugoko niweke chumaaa weka kigingi niweke jiweeeee yani bampa to bampaπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•Ί
 
Hivi unawaona warabu walivorelax lakini!! Boli liko langoni kwao ilaa walaaaaa
Wana5imba Subirini kilio tu
Me sio mwanasimba ila sitaki tu mwarabu ashinde tena kwenye ardhi yetu
nachoombea tu, mwarabu asikimbie maana vinatabia ya kususa
πŸ˜€
 
Back
Top Bottom