Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Naona kina Kasuga mnauchambua.
Sisi tunamchobeya mwarabu hapaNakuona Mtani kule kwetu hiyo style hapo wanaita kuchobeya. 🤣🤣🤣
leo tunaondoka na wewe mke wetuThubutuuuuu 💚💚💚💚💪💪!
Wanajitekenya au wanatekenya mwarabu 😆😁Mashabiki wa simba wanajitekenya nakucheka wenyewe.
Sasa kwani kosa lao ni lipi Dada?😀Ila mods mko faster kweli kuchange ubao. 🤣🤣
Simba kamla mwarabu .Mbona nasikia kelele banda umiza kuna nini huko?
Pamoja na mgeniiiiiii💚💚💚💚💚💪💪😁😁😁😁leo tunaondoka na wewe mke wetu
Lahaula lakwata Ansar sun kwani simba wapo wanaswali msikiti gani hapo Misri?Simba kamla mwarabu .
Hahaha karelax ety ngoja ashenyentwe safi sana mnyama make Tanzania proudLeo Simba ooouuttttttttt
Mwarabu mtu mbadi weeeeee
Ngapi ngapi huko mzee wangu.Bado dakika 30
5 wanakula hawaSimba inashinda goli nyingi hii mechi