FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Me sio mwanasimba ila sitaki tu mwarabu ashinde tena kwenye ardhi yetu
nachoombea tu, mwarabu asikimbie maana vinatabia ya kususa
๐Ÿ˜€
Leo Simba ooouuttttttttt ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

Mwarabu mtu mbadi weeeeee
 
Hadi dkk hii, bado sioni muunganiko wa team, yaan kila mtu bora liende, na hali ilivyo hapo uwanjani, bas ni shida tupuu.
 
Weka ugoko niweke chumaaa weka kigingi niweke jiweeeee yani bampa to bampa๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ
Mh shem๐Ÿ˜…
 
๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Simba wawe makini na counter attack, hawa watu sio wazuri ktk hilo
 
Bill
mtzedi
Mtoto halali na hela
Scars
Greatest Of All Time
Leo wote mko busy na kazi eti. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Tunajua mnapumulia mashine huko mliko lakini njoeni muandike chochote basi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
IMG_5875.jpeg
 
huu uwanja waarabu washajichanganya ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom