FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Mechi muhimu kama hii mchezaji tegemeo unaacha kutumia nafasi nzuri kama nzuri. Ahoua sometime anakera.
 
Nakumbuka maneno ya babu yangu jana
"Mjukuu wangu usije ukipoteza asili yako, babu yangu mzee Mohsen alizaliwa Misri akahamia Ujiji mwaka ya 1889" sijui alikuwa na maana gani ila nachojua aliwahi kuichezea Al Masry Egypt
Aahaaaa
 
Back
Top Bottom