Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Mtani tutaweka wapi sura zetu sisi mkipita. 🤣🤣
Mtani tutaweka wapi sura zetu sisi mkipita. 🤣🤣
Mie shabiki kindakindaki Sitokii hapaaaa💚💚💚😁😁😁💪💪💪Simba inampiga mtu mkono. Kaa hapa hadi mwisho
Wanapendelea. 😂😂😂Sasa kwani kosa lao ni lipi Dada?😀
Mipango hiyo, ndo mechi za kimataifa zinavyochezwahii ndo pitch ya kucheza AFCON kweli ?
😂😂😂😂😂😂😂Kuna watu wana nyodo jamani!! Jamaa kabadili lugha kwenye kingamuzi tupate matangazo kwa lugha ya kiingereza. Sababu aliyotoa anasema hii ni game ya kimataifa na haina hadhi ya kutangazwa kiswahili.
Anataka kusikia mtangazajinwa kiingereza alitaka Jan sha wa...
Linarudi hiloNgapi ngapi huko mzee wangu.
Azam tv ni uchafu kabisa, hapa mwanza mvua inanyesha haioneshi kitu
Utafierwa kabisa sio kupigwa mawe tuSIMBA AKIFUZU MNIPIGE MAWE MPAKA NIFE
hapo ni shambani mzeee sisi tunaona ni uwanja kumbe mechi inapigwa ukoo shamba la mpungahii ndo pitch ya kucheza AFCON kweli ?
Noma sanaaUtafierwa kabisa sio kupigwa mawe tu
weka dishi vizur mkuu mimi hata ipige mvua kiasi gani halikati shida mnawekewa madishi na watu wa uchochoroniAzam tv ni uchafu kabisa, hapa mwanza mvua inanyesha haioneshi kitu