Mr Yupi? 😂😂😂😂😹😹😹 Nguvu zikimuishia ntamuombea kwa Mr amu-hotspot 🤣
Mmoko wa Madrid jana keshapewa haki yake ya mwezi mzima huko😁Wale watoa ahadi za kupigwa ban waanze kutafuta majina mapya ya kutumia kwenye account zao mpya
Hapati pesa mpaka ashinde mechi na kufuzuKwahio simba tayari imechukua Tsh 20,000,000 za mama!
Yaani. 🤣🤣Mtakuwa mnajificha kama mnadaiwa vikoba
#HiiTunavuka
😹😹😹 Mr UKMr Yupi? 😂😂😂😂
Ila uduguu, woiiiiih
😂😂😂😂😂 chizii wee.😹😹😹 Mr UK
Kuna mmoja nilimwambia asubuhi kuwa uyu mwarabu koko anapigwa taifaMmoko wa Madrid jana keshapewa haki yake ya mwezi mzima huko😁
Bado sanazerominus10 andaa id mpya na tukikujua chap tunamwambia mod’s mpk miaka mitatu itimie..!!
Bye bye see you 2028 😹😹😹
Tukishinda inabidi tumuangalie kwa hicho la mama na mwanaee.Nawakumbusha mod’s kuna member aliomba ban la miaka 3 msisahau kumpatia tamanio lake..!! 😹