MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Kuna watu wanafuatilia Shirikisho ?? 👀
Mtakuwa mnajificha kama mnadaiwa vikobaMtani tutaweka wapi sura zetu sisi mkipita. 🤣🤣
😂😂😂😂Mtakuwa mnajificha kama mnadaiwa vikoba
#HiiTunavuka
Mkifurahi mimi naumiaEphen mama Nini shida..unataka Nini maana sio kwa hizi rahaa nazo PEWA na 🦁🦁
Amini5 wanakula hawa
Hawapokei cm mkuu[emoji32]Ooh sikuwa nimeona matokeo vizuri. Sasa Labani og tuwatafute mods tuongee nao vizuri. Yaani Ban inakuhusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa uchezaji wa hawa waarabu, hii mechi wangekuwa wanacheza na Yanga wangekuwa mwarabu kashapigwa 5
At least kidg naweza sema iwe hivyo, maana kibu ni tatizo. AaahToa KIBU weka ATEBA