Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Tulionyaaa wachaaaa
Hujambo lakini? 😂😂😂😂umemtanulia hata hajalenga masikini umebaki na ugwadu
Kwajena la Al Masry 💚💚💚💚💚💚💚🕺🕺🕺🕺💪💪💪😁Shindwaaaaaaa
Hapa mwasibu Mwamposa anatumika kama kiini macho. Ila hii mechi mmeroga na ndio napata kuelewa kwanini wale wazee waliomba meneja wa uwanja aombe ruhusa kazini ya siku tatu ili awapishe wana jambo lao.Arise and Shine
Ila hii nchi tunapigwa Sana .Sasa huu uwanja umerekebishwa wapi?
Simba muda si mrefu atapigwa kimoja cha haja. Na habari yake inaishia hapoHakimbii mtu hapa
Na ngoma atoke tyuuh. Hawa wachezaji wameshajichokeaUyu Ahoua huyu anazingua bora kocha amuondoe mapema tu
Ephen mama Nini shida..unataka Nini maana sio kwa hizi rahaa nazo PEWA na 🦁🦁Siwapendiii Simba