900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
umeshaingiziwa 2 kama hujahisi unashimo ndefu subiri la 3Haya jamani, sisi ndio walewale mwakarobo… Tuko hapa.
umeshaingiziwa 2 kama hujahisi unashimo ndefu subiri la 3Haya jamani, sisi ndio walewale mwakarobo… Tuko hapa.
Useme hatufuzu, sio kushinda, vipi umevurugwa au?Hamshindi lakini
sawa na pacome 6Mpanzu ni mtu
Hamuendi kokote subiri muone ajabu linalokuja!Useme hatufuzu, sio kushinda, vipi umevurugwa au?
😂😂😂😂😂😂😂
Wee sii unaona huko mambo ya moto...bado bao mbili tuu sie leo turuke na warembo wa simba...watatususia mbususu moaka tuzituoalie Kalpana vipi hukoMzab......ulevi wa pombe umeanza lini!?
mm najua ww ni mutu ya k
Kushabikia simba na Yanga ni lazima uqe mwendawazimu.All the Best wana Lunyasi.
wakuangushe ushindwe kuinuka, simba inavuka tuombe itokee hivyoAlmasry Wananiangusha sasa
Bado hujasemaUngese huu sasa,,unafungwaje mbili na simba hii??
Hahaha. Inapendeza.sawa na pacome 6
Ndo utulie hapo hapo, shida nn wee komwee? LolHamuendi kokote subiri muone ajabu linalokuja!
Bado hujakua kimpira.tuliza wenge mkuu dakika 45 washamaliza deni nabado wanatafuta unataka nini tena
Hakimbii mtu hapaUto msikimbie uzi
Leo amemsahauau nimtag smart haha