Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Niombee Kwa mods mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] we utopolo kua na aibu basi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Niombee Kwa mods mkuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] we utopolo kua na aibu basi
Mswalie ntume.Kibunda cha makolo hakijaenda bure, refarii anarudisha fadhila mujarab!
Nilikuwa natania tu MkuuTena omba tusifuzu, yaam tukifuzu, Ban nitakupa mie badala ya modes. Tulia hapo
tuliza wenge mkuu dakika 45 washamaliza deni nabado wanatafuta unataka nini tenaWachezani wetu hawana mentality ya kibingwa, yaanj toka wapate goli la pili wamerelax mtu, ile pressure ya kulisaka goli haipo.. Mpaka hapa simba ndio tuko kwenye wakati mbaya, al masry wakipata goli hali ni tete kwetu.
Mimi zaidi sweetheart. Tunawaombea angalau muwe na furaha nanyinyi. Maana NBC mtalikosa. Mtuombee nasisi kesho kwa hao wanaotupaniaga.Ahsante Love....tuombee jamani...
Nimekumisssssss'
Kutwaa kombe ndio mafanikio yanayohitajika.Simba itafuzu leo lakini mafanikio yake yatakua hayana maana kama asipotwaa hili kombe au kuleta medali
Michuano ya caf,chama cha mpira nchi husika ndio uwaanda marefa wawabe timu mwenyeji,Yanga haijawahi kupata hiyo favor toka tff,makolo siku ya kuondoka kidau na karia tff hii janja yao ndio itakua imekwishaKibunda cha makolo hakijaenda bure, refarii anarudisha fadhila mujarab!
Hebu tulia, tumetumia Bilion 32 kurekebisha hiyo peach.Uwanja kwisha habari
Ndio alisikikaSimba hapati hata goli moja alisikika
Namba 9.Ateba hana nafasi tena, mukwala ndo best number 10 simba
Amen Love....Mimi zaidi sweetheart. Tunawaombea angalau muwe na furaha nanyinyi. Maana NBC mtalikosa. Mtuombee nasisi kesho kwa hao wanaotupaniaga.