FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Mmemwomba mwamposa ashushe mvua mpate pa kuponea kama mnavodaigi 😁😁😁😊
 
Kama simba itaibuka kidedea leo basi uwepo wa kina mwamposa na sheikh walidi itakuwa ni fasheni kuhudhuria mechi kubwa za taifa ili timu ishinde
 
Mambo ni 🔥🔥
Screenshot_20250409-164135_Chrome.jpg
 
Mwarabu since day 1 💚💚💚🕺 haina fuata upepo hiiiii 🕺🕺🕺🕺
 
Back
Top Bottom