Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Mechi haijaishaWewe na yule alie SEMA apigwe mawe mna Hali gani hukooooo🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Mechi haijaishaWewe na yule alie SEMA apigwe mawe mna Hali gani hukooooo🦁🦁🦁🦁🦁🦁
mchawi wahedSimba ni ndugu zetu .... No needs to be divided
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mechi haijaisha msijisahauUsirudi hivyo hivyo, 😂😂😂😂😂
Niko hapaaaaa nawasubiri mje hata Kijiji kizimaaa 🕺🕺🕺🕺💚💚💚💚💪💪💪😁😁leo tunaondoka na wewe
Kabisa.Simba ni ndugu zetu .... No needs to be divided
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mohamed Husein siku hizi anapangwa labda kwa kuwa ni wajina na mwenye timu.Fadru aache kumlinda hussein amekia hana energy aisee,,waarabu wakiongeza bidii watatupiga goli maana wachezaji wote wanafikiria kushambulia tu
Trust me. Simba anaenda mbele... Mwarabu lazima afe leo.Game bado mbichi sana
Tatizo kwenye kila goli lao moja tunahitaji mawili.Ila bado jamani hapa apigwe 4 tu huyu mwarabu nawasi wasi na yale magoli ya papatu papatu
Hiinkweli hata mimi siku hizi haikati nilimuita fundiweka dishi vizur mkuu mimi hata ipige mvua kiasi gani halikati shida mnawekewa madishi na watu wa uchochoroni