FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Wachezani wetu hawana mentality ya kibingwa, yaanj toka wapate goli la pili wamerelax mtu, ile pressure ya kulisaka goli haipo.. Mpaka hapa simba ndio tuko kwenye wakati mbaya, al masry wakipata goli hali ni tete kwetu.
 
Back
Top Bottom