FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Michuano ya caf,chama cha mpira nchi husika ndio uwaanda marefa wawabe timu mwenyeji,Yanga haijawahi kupata hiyo favor toka tff,makolo siku ya kuondoka kidau na karia tff hii janja yao ndio itakua imekwisha
Mmeanza kusemaa eeeh? Badoo hapo.
😂😂😂😂😂
 
Wacha nikachochee mandondo yangu kabla ya 2nd half🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️😊😊😊
Kachochee mumeo aje kula sio unakaa kuangalia mipira Alaa!
 
Back
Top Bottom