900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
wachezaji 11 uwanjani wachawi wako wanacheza namba ngapiWachawiiii...
Halafu wanashangilia
wachezaji 11 uwanjani wachawi wako wanacheza namba ngapiWachawiiii...
Halafu wanashangilia
Subiri gemu iishe wenye kulia watalia sana leoKwa uchezaji wa hawa waarabu, hii mechi wangekuwa wanacheza na Yanga wangekuwa mwarabu kashapigwa 5
Subiria mkandweMarekebisho yanahitaji marekebisho
Useme hatufuzu, sio kushinda, vipi umevurugwa au?
😂😂😂😂😂😂😂
Jiandae kwa Ban! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Subiri gemu iishe wenye kulia watalia sana leo
Kwa uchezaji wa hawa waarabu, hii mechi wangekuwa wanacheza na Yanga wangekuwa mwarabu kashapigwa 5
MtakandwaHawa waarabu ni tia maji sipati picha refa angekua ni Tatu Malogo [emoji23]
Subiria mkandwe gemu bado mbichiJiandae kwa Ban! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana😂Waarabu wapuuzi sana!
Simba ina cheza na timu mbovu San hiiMC ALGERS walikua wanyakyusa?
umemtanulia hata hajalenga masikini umebaki na ugwaduAhoua nae aache Kitete, mbona nafasi ilikua wazi kusokomeza ukuni jikoni, aaaah
MC Algers walipark bus kwenye box lao dk 90 zote na uto hakupata hata goli mojaKwa uchezaji wa hawa waarabu, hii mechi wangekuwa wanacheza na Yanga wangekuwa mwarabu kashapigwa 5
😁😁😁😁🕺🕺🕺🕺Kachochee mumeo aje kula sio unakaa kuangalia mipira Alaa!