Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Safi kabisa, hakuna kijidudu chochote nchi hii kinachoweza kutishia kuitikisa hii nchi, hakuna. Hako kabaraka ni kama unyoya wa kifaranga tu nchi hii.......mwepesiiiiii, wanamchora tu.
Kumpiga chura teke....Ccm wanzazidi kuipush ajenda ya no reform no elections bila kujua😁😁😁
Maua Mkuu💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐🌼Tundu Lisu anatoa hoja. wao wanaleta VITOJA kuna wanaomuita MWANAHARAKATI, hawajui kwamba walio wengi wanavutiwa na siasa za harakat.
huyu ndiyo Tundu LISU mwana wa Tanganyika akisema chawa wote wana ufyataaaaa
Mkisha shindwa hoja huwa mnambilia huko kwa polisi ndiko mliko jibanza wajaa laana nyie ila mwisho wenu umesha fikaNichukue nafasi hii kumpongeza mheshimiwa Tundu Lisu kwa kukamatwa na Polisi ni haki yake kwa mujibu wa katiba ya Tanzania
Hongera sana
Hahahahaaaaanapaswa kufuata sheria mikutano mwisho saa 12, hii saa moja anafanya nini? akifa mtu tunampeleka ICC
Wewe unapata faida gani?Tandika kabisa,atie akili.