PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna kiongozi wa,CCM anayefanya ujinga huo
Basi wewe ndiyo inawezekana Tanzania nzima upo peke yako usiyejua kuwa viongozi wa CCM ni kawaida Yao kufanya ujinga.

Bahati mbaya Sana viongozi wa CCM wanapofanya ujinga hushabikiwa na wafuasi wao ambao wamegeuka na kuwa kama Mazombie!
 
Hawata Mfanya chochote Mkuu.

Mungu ninayeamini, Bwana wa Majeshi Mungu mwenye Nguvu atawatawanya na watakimbiana.

Mpakwa Mafuta wa Bwana huyu TL.

Na Mungu wa Israel Bwana Aliyehai atamshindia.

Ameni.
Korokoroni ni mahali pa kuwekwa wahalifu, SI mahali pa kuwekwa wenye haki.

Tundu Lissu amebeba agenda ya watanzania, anabeba agenda yetuu, na ndio sababu ya kupata uungwaji mkono Kila arndako.

Huu ni muda ambao, sauti za haki hazitazuilika, yataongea mawe na miti msiyodhani inaweza kupiga KELELE kudai haki ya kupata sanduku la kura lisilonajisiwa.

Hoja ijibiwe kwa hoja, polisi na majeshi wakae pale kulinda amani.

Free our Prophet Tundu lissu.
 
Hawata Mfanya chochote Mkuu.

Mungu ninayeamini, Bwana wa Majeshi Mungu mwenye Nguvu atawatawanya na watakimbiana.

Mpakwa Mafuta wa Bwana huyu TL.

Na Mungu wa Israel Bwana Aliyehai atamshindia.

Ameni.
Sasa Lisu SI jambazi wa kkusumbuliwa Kila mara,

Kuna maneno mengi nchi hii anatakiwa kuwafikia wananchi Ili kupata ridhaa ya kuzuia uchaguzi batili usifanyike Ili haki yetu ya kikatiba kumchagua na kuchaguliwa na kuheshimu matoleo, iheshimiwe.
 
Hii sio fair, italeta chuki zaidi kwa ccm na serikali yake. Wangemuacha tu aendelee kufanya sisa kwa uhuru maadam hadhuru watu wala haleti tafrani
 
Mimi naami polisi sio wajinga kiasi hiki wamkamate bila kosa, tusikimbilie tu kutukana na kulaumu , tuwe wenye kujisahihisha yanapotokea makosa upande wetu
 
Jeshi la polisi lina kazi nyingi, hebu kipindi hiki lijiepushe kusumbua wanasiasa ili kuepusha chuki kwa serikali na chama chake. Mambo ya kuanza kukamatakamata wapinzani inaleta taswira mbaya kwa taifa tulivu kwa amani ya nchi
 
Mimi naami polisi sio wajinga kiasi hiki wamkamate bila kosa, tusikimbilie tu kutukana na kulaumu , tuwe wenye kujisahihisha yanapotokea makosa upande wetu
Ilikuwa live wakati anakamatwa kiongozi labda kama hauishi Tanzania hivyo hawajui polisi wa Tanzania
 
Mimi naami polisi sio wajinga kiasi hiki wamkamate bila kosa, tusikimbilie tu kutukana na kulaumu , tuwe wenye kujisahihisha yanapotokea makosa upande wetu
Kosa ni Lisu kuwa na hoja ngumu sizizona majibu mbele ya akili ndogo CCM,
 
Hawata Mfanya chochote Mkuu.

Mungu ninayeamini, Bwana wa Majeshi Mungu mwenye Nguvu atawatawanya na watakimbiana.

Mpakwa Mafuta wa Bwana huyu TL.

Na Mungu wa Israel Bwana Aliyehai atamshindia.

Ameni.
Mungu yuko upande wa Tundu Lissu hawamuwezi.anaombewa mpaka na watoto wadogo.Na liko kusudi Mungu ameliweka kwa Lissu kushindana nae ni kushindana na aliekuumba.Atatoka tena kwa kishindo
 
Back
Top Bottom