PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
HIzo hospital zimejengwa na serekali ya CCM,Halafu wanasema hakujafanyika kitu.Piga kabisa,akili itàwaingia
Ni kodi ambazo wananchi hulipa kwahiyo kama chuki zako ni hizo jenga zako kutoka mfukoni mwako halafu utazuia watu wasije. Ila mlipa kodi lazima aende. Kwani bila ya hawa policcm ccm inaweza kuishi?
20250407_122343.jpg
20250409_181059.jpg
Screenshot_20250409_170157_X.jpg
 
HIzo hospital zimejengwa na serekali ya CCM,Halafu wanasema hakujafanyika kitu.Piga kabisa,akili itàwaingia
Hivi ni Serikali ya CCM au Serikali ya wananchi wa Tanzania? Na hizo hospitali zimejengwa kwa kodi ya wanaCCM au kodi ya wananchi wa Tanzania?
 
Habari hiyo haitatangazwa, wakati mwingine binadamu wenye akili hujiuliza kama kamanda aliyeamuru mabomu ya machozi yapipwe ikiwa ana akili timamu za kiutu. Unatawanyaje watu kwa mabomu ya machozi kwenye mkutano wa amani kama ule? Huu ni ushenzi na ni uhalifu
 
Hospital ya Wilaya na Vituo vya Afya vimepokea Wanawake, watoto, Wazee walojeruhiwa ,huku wengine hali zao zikiwa MBAYA.


View: https://youtu.be/_cvN0AYLofs?si=LW7iGmWMm0R_LTMg

huenda wahalifu walikua wengi zaidi ya wananchi,

pole sana wananchi wa mbinga kwa kukanyagwa kwa makusudi na magenge ya khalifu kwenye mkutano wa hadhara,

siku nyingine,
hudhurieni mikutano ya hadhara ya wanasiasa wema, hao vibaka na matapeli wa kisiasa wanaambatana na wahalifu ili kuumiza raia kwa kisingizio cha polisi 🐒
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=_cvN0AYLofs

Sad part kwenye hiyo video DJ anapiga nyimbo kitiikio chake kina maneno “nchi ni hii polisi msitupige mabomu CHADEMA’ wakati jamaa wanasambaza kichapo.

Halafu huyo anaerekodi mwisho anaonekana anachungulia nyuma ya mlango alivyo muoga.

Ndio maana kila siku wengine tunawabia hizi siasa za Lissu atapelekea kuumiza watu wachache. Watanzania hawana uvumilivu wa virungu bado. Na hakuna serikali inayotetemeshwa kirahisi duniani kama Lissu anavyodhani.

Sasa hivi wabongo ndio kwanza wapo busy na drama za Manara, keshakinukisha huko mkewe.
 
Mimi naami polisi sio wajinga kiasi hiki wamkamate bila kosa, tusikimbilie tu kutukana na kulaumu , tuwe wenye kujisahihisha yanapotokea makosa upande wetu
Polisi wetu ni zaidi ya hivyo.
Labda wewe uwe mgeni Tanzania hii.
 
Back
Top Bottom