PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tundu Lisu anatoa hoja. wao wanaleta VITOJA kuna wanaomuita MWANAHARAKATI, hawajui kwamba walio wengi wanavutiwa na siasa za harakat.
huyu ndiyo Tundu LISU mwana wa Tanganyika akisema chawa wote wana ufyataaaaa
Huyo mropokaji ana kashfa na amejaa matusi sana.
 
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi
Huyu ndio anayesema,atafanya maandamano nchi nzima.Eneo dogo tu,limemshinda kufanya maandamano.
 
Hii ni sawa ule msemo wa "Kumpiga Chura Teke ni Kumwongezea mwendo".....
 
BREAKING NEWS:
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.

TAARIFA KUTOKA CHADEMA
BreakingNews Mwenyekiti wa Chama wa Taifa Mhe. @TunduALissu amekamatwa na Jeshi la Polisi wilaya Mbinga. Mhe. Lissu amekamatwa wakati alipomaliza mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 09 Aprili 2025 Jimbo la Mbinga, mpaka sasa haijulikani amepelekwa kituo gani cha Polisi. Mwenyekiti amekamatwa pamoja na wanachama wengine, kwa sasa Jeshi hilo linaendelewa kutawanya wananchi kwa mabomu uwanjani hapo.

Tunaendelea kufuatilia tukio hilo, tutawajuza.
ccm dawa imewaingia wameshindwa kujibu hoja za Lisu sasa wanatumia polisi
 
BREAKING NEWS:
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.

TAARIFA KUTOKA CHADEMA
BreakingNews Mwenyekiti wa Chama wa Taifa Mhe. @TunduALissu amekamatwa na Jeshi la Polisi wilaya Mbinga. Mhe. Lissu amekamatwa wakati alipomaliza mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 09 Aprili 2025 Jimbo la Mbinga, mpaka sasa haijulikani amepelekwa kituo gani cha Polisi. Mwenyekiti amekamatwa pamoja na wanachama wengine, kwa sasa Jeshi hilo linaendelewa kutawanya wananchi kwa mabomu uwanjani hapo.

Tunaendelea kufuatilia tukio hilo, tutawajuza.
Fear of the unknown
 
Back
Top Bottom