FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Simba amefuzu lakini bado ni timu dhaifu. Hii mechi haikuwa ya kwenda penalty
1000062536.jpg
 
🤣🤣🤣🤣 Pole yako ndugu unadhani fainali ni ya Kila mtu,,Tena kwa timu yenu iyo inayotegemea kubustiwa na mwamposa🤣🤣 kama tu Al masry mbovu kakutoa kamasi iyo fainali unafikaje?
Shabiki maandazi huna lolote unalolijua.Timu yenu iliingia hiyo final unayolingia Kwa kuitoa timu ya Marumo iliyokuwa mkiani na kushuka daraja Kwenye ligi yao ya south. Kwa hiyo huko kubeza kwenu tunajua mmeumia na hicho kichaka chenu cha final kinafyekwa, na kule champions timu lenu ni underdog.
 
Kama malumo alikuwa anataka kushuka daraja na akafika nusu basi kumbe ni rahisi mchukue Tanzania prison ama kengold zinazotaka kushuka daraja na zenyewe zikafike fainali,,
 
Watoto wa Arteta mmesikia!? Mmeona!?Naam Naam na kila kitu kilienda vyema kabisa mpaka pale Mpanzu alipotumbukiza mpira kimiani....🤝🙌 unapajua KIMIANI!? Na hata hakukuwa na tatizo mpaka pale MUKWALA aliposema ADUI wa rangi nyekundu ni rangi ya Kijani,yaani kwa mkapa ni rangi ni NYEKUNDU tu😎
 
Kuna yule member wa kujikatia tamaa mapema anaitwa GENTAMYCINE yeye alishaleta uzi kwamba tunaoamini Simba atafuzu kwenda nusu fainali tunapoteza muda.

Tulimuonya aache tabia mbaya ya kukata tamaa hasa kwa mwanaume ni dhambi.

Haya Simba huyo nusu fainali tena kwa ushindi mnono kabisa.
 
Back
Top Bottom