Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,340
- 36,020
U
Uandike paragraph yote hiyo kama siyo uchungu ni nini...
Ongea hiyo kitu ikutoke😀
Unateseka bhana weee.....Nani ateseke? Yani niteseke wakati Nina medali shingoni ya fainali but unaangaika na kitimu kibovu icho mpaka unapita kwa penalty na zenyewe kwa nguvu za ndumba na bado iyo ni nusu je ukifika fainali kama yanga si utavua nguo kabisa na kutembea uchi
Uandike paragraph yote hiyo kama siyo uchungu ni nini...
Ongea hiyo kitu ikutoke😀