FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Nani ateseke? Yani niteseke wakati Nina medali shingoni ya fainali but unaangaika na kitimu kibovu icho mpaka unapita kwa penalty na zenyewe kwa nguvu za ndumba na bado iyo ni nusu je ukifika fainali kama yanga si utavua nguo kabisa na kutembea uchi
Hicho kichaka cha medali kinaenda kufyekwa mnyama anafika hiyo final na kubeba kabisa , na kule champions nyinyi underdog hamna cha kutambia
 
Ym

Amina mrembo mwenye moyo wake mzuri...yani nina furaha sidhani hata kama shem wako atapata huduma leo...ahahahhahahhahaahhah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tena yamekuwa hayo? Umnyime shem wangu kweli? Hapana tutaandamana 😅😅😅😅😅😅 leo ndiyo siku ya kumpa yote, mdada mzuri mwenye shepu yako town 🥰
 
Back
Top Bottom