Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Mkuu we ni ndugu yangu sana [emoji32][emoji32][emoji32]Piga ban hiii nguruwe pori jamaniiiiiiii
Leo unaniua
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkuu we ni ndugu yangu sana [emoji32][emoji32][emoji32]Piga ban hiii nguruwe pori jamaniiiiiiii
Sijambo ze bebe,safari hii nakuletea kikombeHujambo lakini? 😂😂😂😂
😃😀😀😀Piga ban hiii nguruwe pori jamaniiiiiiii
Uachage unaaa...Mkuu we ni ndugu yangu sana [emoji32][emoji32][emoji32]
Leo unaniua
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ameyatimba huyuUachage unaaa...
Ila nini sasa? Wee una kifafa cha ukubwani?
Hakuna kuahirisha hapa, wangefungwa watani usingesema hivyo 😹😹😹
Mmemuongeza mganga pesa chap uduguuu 😹😹😹Ila nini sasa? Wee una kifafa cha ukubwani?
Em tulia kulee, wala hupewi ban, mtoroka milembe.
Mxxxiiiieeeew
Hatimaye my Darling hongera ❤️
View attachment 3298000
Niletee haswaa.Sijambo ze bebe,safari hii nakuletea kikombe
Usimuite huyo genta ni mnafiki sana huyo si ndo alikua anasema kuwa hatuvukiAma kweli Simba Sio kinyonga,
Taifa limetabasamu,
Apostle kuna miujiza hukuuuu
Ni naniiii Mwamposa SC wamefanya kitu kikubwa kiasi kwamba waarabu Coco wameingia Bucha la Wagalatia
Simba burudani kwa wote, karibuni msimbazi tunagawa kadi za mwaliko wa burudani kwa watu waliokabwa na matonge ya wivu,
Hakika waarabu wamenyweshwa maji ya chemba za msimbazi
Simba unforgettable!
👹👺
😁😁
Oy Scars cocastic
GENTAMYCINE
Nani ateseke? Yani niteseke wakati Nina medali shingoni ya fainali but unaangaika na kitimu kibovu icho mpaka unapita kwa penalty na zenyewe kwa nguvu za ndumba na bado iyo ni nusu je ukifika fainali kama yanga si utavua nguo kabisa na kutembea uchiNayo bado unateseka?
Na m'bado
ulikuwa unabanabana nini wakati unatanuliwa ilitakiwa zaidi ya 10Dk 10 additions. Dooh.
Hii hatariii, hadi nimeogopaa.
Hatuja cheleweshaa, yaan ni fastaaaa.Mmemuongeza mganga pesa chap uduguuu 😹😹😹