Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Mechi lazima tucheze na kushinda ni lazima.Ah nyumba mwiko mmeanza mambo yenu e u tulieni kwanza mechi mcheze bwana
Nipo hapa
Mechi lazima tucheze na kushinda ni lazima.Ah nyumba mwiko mmeanza mambo yenu e u tulieni kwanza mechi mcheze bwana
Niache kwani, nimesha vurugwa mwenzenuu.Apia
Dogo chill 😜. Nilibanwa na tumbo la kuraha Acha Tu. Nguvu moyaWee mbwaa em tokaa kulee, usiniletee uchuro wako hapa.
Nshavurugwaa mie.
MATUTA sio ushindi halaliUpigwe ban au tukubanike?
Tumbo la kuraha ndo likoje!?[emoji1787]Dogo chill [emoji12]. Nilibanwa na tumbo la kuraha Acha Tu. Nguvu moya
Kabisa.Aliomba ya miaka 3 😹😹
Na akirudi na id mpya tunamchongea 🤣
Basi waganga kibokoMaombi ayakufua dafu mbele ya waganga wa kwamsisi
AsanteeeeeeeeeeeeeeeeHongera sana Simba SC
Nilisema nimeahirisha nisipigwe ban
Piga ban hiii nguruwe pori jamaniiiiiiii