cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Duuuh basi sawaa.ulikuwa unabanabana nini wakati unatanuliwa ilitakiwa zaidi ya 10
Duuuh basi sawaa.ulikuwa unabanabana nini wakati unatanuliwa ilitakiwa zaidi ya 10
Tupo japo viroho vinasokotwa. Hatuna la kufanya. Tunawapongeza warembo wa simba. Siku yenu leo 🥰🥰🥰🥰🥰
😹😹😹 Hawa wamezidi kamdomo acha wale ban leo..!!Naunga mkono hoja 😃😃😀😀
Hatimaye umepewa haki Yako...Mkuu we ni ndugu yangu sana [emoji32][emoji32][emoji32]
Leo unaniua
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Asante kipenziiiiiiii woyooooooooooTupo japo viroho vinasokotwa. Hatuna la kufanya. Tunawapongeza warembo wa simba. Siku yenu leo 🥰🥰🥰🥰🥰
😂😂😂😂😂 uduguu em tuacheee.Hakuna kuahirisha hapa, wangefungwa watani usingesema hivyo 😹😹😹
Ila watani vigagula khaaaaa..!! 🤣
mevalishwa rozariNani ateseke? Yani niteseke wakati Nina medali shingoni ya fainali but unaangaika na kitimu kibovu icho mpaka unapita kwa penalty na zenyewe kwa nguvu za ndumba na bado iyo ni nusu je ukifika fainali kama yanga si utavua nguo kabisa na kutembea uchi
Inategemea ni mtu mwenye upako wa namna Gani anayekuombeaBasi waganga kiboko
We mkuu kwani matuta haiko katika kimpira?
Iyo rozali ata kuikaribia utoikaribia tulia uje uone kama ni rahisimevalishwa rozari
Hongereni sana 😍😍😍😍😍 Leo hiyo furaha yenu, idumu mwaka wote huu.Asante kipenziiiiiiii woyoooooooooo
Mlimpa cash au mlituma kwa wakala? 😹😹Hatuja cheleweshaa, yaan ni fastaaaa.
😂😂😂😂😂
Tulia ikuingie vizuri, utafanya ikatikie ndani.Nani ateseke? Yani niteseke wakati Nina medali shingoni ya fainali but unaangaika na kitimu kibovu icho mpaka unapita kwa penalty na zenyewe kwa nguvu za ndumba na bado iyo ni nusu je ukifika fainali kama yanga si utavua nguo kabisa na kutembea uchi
Kwa wakala, 😂😂😂😂Mlimpa cash au mlituma kwa wakala? 😹😹
Shukrani sna mrembo ahsante kwa hii zawadi kw furaha niliyonayo usiku wako Leo utamwaga sna maji km NoumaCamara, Leo aje kulala kwangu,
Nampaa yotee afu bureee, sitaki chochote kwake.
Amina mrembo mwenye moyo wake mzuri...yani nina furaha sidhani hata kama shem wako atapata huduma leo...ahahahhahahhahaahhahHongereni sana 😍😍😍😍😍 Leo hiyo furaha yenu, idumu mwaka wote huu.
Wameyatimba 😃😀😀😀😹😹😹 Hawa wamezidi kamdomo acha wale ban leo..!!