Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Wachawi wote, habari zenyu??
Dogo chill 😜. Nilibanwa na tumbo la kuraha Acha Tu. Nguvu moya🤓Wee mbwaa em tokaa kulee, usiniletee uchuro wako hapa.
Nshavurugwaa mie.
Kumbe mbususu mnapewa kwa kupimiwa mpk 5imba washinde? 😥😹😹😹Tulia wewe leo sie tunafurah simba kashinda wake zetu wanatupa mbususu
😂😂😂😂😂Utabadilisha majina mpaka mwakabingwa
NAKAZIABan zote zitekelezwe effectively from now
Acha uchoyo leo mpe nafasi aonje style ya msomali kafia kwenye fiatYani shemeji yako leo ndo hapati chochote kabisaaa tena aingie kulala kama sipo
Ndioooo mpaka sba ashindeKumbe mbususu mnapewa kwa kupimiwa mpk 5imba washinde? 😥😹😹😹
Upigwe ban au tukubanike?NAPINGA KUPIGWA BAN
KWENU MODS[emoji23][emoji26][emoji32]
USHINDI WA MATUTA ....SIO USHINDI HALALI
Any ban to my account........ntampigia Trump apige pin jamii forum
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ah nyumba mwiko mmeanza mambo yenu e u tulieni kwanza mechi mcheze bwanaIla nyie Simba mtawaonea hao hao timu nyingine.
Sisi Yanga ndio kiboko yenu.
Mtake msitake.
ApiaSimba hatuna uwezo wa kupita kwenye Penalties kick, ni bora wachezaji washinde humu humu ndanii.
Nakerekwa hasa, huu si upuuzi, wachezaji washa jichokea, aaah
Nayo bado unateseka?Oooh tunawafunga goli zaidi ya 4,,unaenda nusu kwa kudra za waganga wa kienyeji Tena kwa penalty🤣🤣🤣
Yamekuwa hayo tenaOooh tunawafunga goli zaidi ya 4,,unaenda nusu kwa kudra za waganga wa kienyeji Tena kwa penalty🤣🤣🤣
Hebu tulia basi, ushindi ni ushindi mod’s huyu asiwapotezee muda fanyeni kazi yenu chap chap Pasaka hatutaki kula mwanakondoo na wasumbufu…!! 😹😹NAPINGA KUPIGWA BAN
KWENU MODS[emoji23][emoji26][emoji32]
USHINDI WA MATUTA ....SIO USHINDI HALALI
Any ban to my account........ntampigia Trump apige pin jamii forum
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaan hapa navurugana na watu, niko vululuu vululu, sioni wala sisikii.Dogo chill 😜. Nilibanwa na tumbo la kuraha Acha Tu. Nguvu moya🤓
Welcome 🏠 home.Matuta hatutobooiiii
Aliomba ya miaka 3 😹😹Kasema life ban eeee.
Ngoja apate haki yake