Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Zingine bado ila namatumain Alger anapitaHivi timu zizopita ni 5imba USM Alger nani nanani vileee????
Naomba mwongozo kwanzaa
Zingine bado ila namatumain Alger anapitaHivi timu zizopita ni 5imba USM Alger nani nanani vileee????
Naomba mwongozo kwanzaa
HatuwatakiiiiHahahaa. Mdogo wangu acha tu imebidi tuungane na nyie tu mana hamna namna. 🤣🤣🤣
Unafikiri vipi ndugu? Prisona na Kengold wakujaje? Nimekukumbusha kuwa timu mliyoitoa ilishuka daraja Kwenye ligi yao na sio kuwa ilitaka kushuka. Sasa unapoibeza Simba Kwa kuitoa Al masry iliyo nafasi ya nne ligi yao unaonekana kituko , halafu unajivunia medali ya kufika fainali baada ya kuitoa timu iliyoshuka daraja.Kama malumo alikuwa anataka kushuka daraja na akafika nusu basi kumbe ni rahisi mchukue Tanzania prison ama kengold zinazotaka kushuka daraja na zenyewe zikafike fainali,,
Watoto wa Arteta mmesikia!? Mmeona!?Naam Naam na kila kitu kilienda vyema kabisa mpaka pale Mpanzu alipotumbukiza mpira kimiani....🤝🙌 unapajua KIMIANI!? Na hata hakukuwa na tatizo mpaka pale MUKWALA aliposema ADUI wa rangi nyekundu ni rangi ya Kijani,yaani kwa mkapa ni rangi ni NYEKUNDU tu😎
💖💖💖Love you too my sweet 🥰😍
😂😂😂😂😂Tunavuka sio kizali kukutana na timu ya kuungaunga. Tunavuka na kipa lenye uhakika wa kudaka mapenati.
Hili kipa ni sawa na timu nzima ya Yanga pamoja na bench la ufundi na mashabiki wote
Ngaja tuone. Naona hapa kuna pirates na USM Alger ni marudiano au ile ya mwanzo????Zingine bado ila namatumain Alger anapita
😀😀😀😀Mshaanza:
1. Mwamposa
2. Masheik
3. Ushirikina.
4. Fukuza Manager...
5.
6
97651
97652. Mazoezi.
Kusukumwa nyamaa, 😂😂😂😂Mod wameshafanya yo tayari.
Huyo kijana waliomvutia kwenye pagale yeye aliahidi nini?
Dont underestimate the power of Chumvi ya mawe weeeeh!😁Hatuwatakiiii
😂😂😂😂😂😂Kuna Chura mmoja sijui kama kinywaji kitashuka leo, tangu juzi anakoroma Simba imeshatolewa.
Camara hana kipengelee, labda waje nacho wao.Ukinuna uwe na sababu
View attachment 3298041
Ndio, tena alikuja kijiweni kwa wana simba wenyewe😃😃😃Aliweka kifufumbwa rehani?
Ahahahaah yani wengine furaha ikizidi akili inahama... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 😆😆😆😆😆😆nitajitahidi dear🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tena yamekuwa hayo? Umnyime shem wangu kweli? Hapana tutaandamana 😅😅😅😅😅😅 leo ndiyo siku ya kumpa yote, mdada mzuri mwenye shepu yako town 🥰
Wee si utulie hata kdg, mbna una haha sana? Shughuri haikuhusu, unavaa dela la sare, vipi hujambo nn?Kama malumo alikuwa anataka kushuka daraja na akafika nusu basi kumbe ni rahisi mchukue Tanzania prison ama kengold zinazotaka kushuka daraja na zenyewe zikafike fainali,,