PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

PreGE2025 Tundu Lissu akamatwa na Polisi akielekea Mbinga, Ruvuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

View: https://m.youtube.com/watch?v=_cvN0AYLofs

Sad part kwenye hiyo video DJ anapiga nyimbo kitiikio chake kina maneno “nchi ni hii polisi msitupige mabomu CHADEMA’ wakati jamaa wanasambaza kichapo.

Halafu huyo anaerekodi mwisho anaonekana anachungulia nyuma ya mlango alivyo muoga.

Ndio maana kila siku wengine tunawabia hizi siasa za Lissu atapelekea kuumiza watu wachache. Watanzania hawana uvumilivu wa virungu bado. Na hakuna serikali inayotetemeshwa kirahisi duniani kama Lissu anavyodhani.

Sasa hivi wabongo ndio kwanza wapo busy na drama za Manara, keshakinukisha huko mkewe.

Hahahahahaha na lile tumbo lake Lissu anachekesha sana... ujuaji wa kitoto utammaliza!!

Nimecheka hadi DJ kaweka wimbo kakimbia kizimba 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi ndivyo hali ya kisiasa nchini Tanzania ilivyoonekana wakati Mheshimiwa Tundu Lissu alipokamatwa na police wakati wa mkutano wa "No Reforms, No Elections". Wananchi walikuwa wakipewa elimu ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ambayo za sasa hayana haki na yanakandam

iza demokrasia. Katika tukio hilo, ripoti zinasema kuwa polisi walitumia mabomu ya machozi kutawanya umati, na hatimaye Mheshimiwa Lissu alikamatwa. Hii ilikuwa ni sehemu ya harakati za Chadema, chama chake cha upinzani, kupinga serikali inayotawala na kuhamasisha mageuzi ya katiba kabla ya uchaguzi. Wananchi wengi waliunga mkono wito huu, wakiunga mkono kauli ya "Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi", ikionyesha kusita kwao kushiriki katika uchaguzi bila mabadiliko ya kisheria yanayohakikisha uwazi na haki. Hali hiyo inaonyesha mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Tanzania kuelekea uchaguzi ujao wa 2025.
 
Hivi ndivyo hali ya kisiasa nchini Tanzania ilivyoonekana wakati Muheshimiwa Tundu Lissu alipokamatwa na police wakati wa mkutano wa "No Reforms, No Elections". Wananchi walikuwa wakipewa elimu ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ambayo za sasa hayana haki na yanakandamiza demokrasia.

Katika tukio hilo, ripoti zinasema kuwa polisi walitumia mabomu ya machozi kutawanya umati, na hatimaye Mheshimiwa Lissu alikamatwa. Hii ilikuwa ni sehemu ya harakati za Chadema, chama chake cha upinzani, kupinga serikali inayotawala na kuhamasisha mageuzi ya katiba kabla ya uchaguzi. Wananchi wengi waliunga mkono wito huu, wakiunga mkono kauli ya "

Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi", ikionyesha kusita kwao kushiriki katika uchaguzi bila mabadiliko ya kisheria yanayohakikisha uwazi na haki. Hali hiyo inaonyesha mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Tanzania kuelekea uchaguzi ujao wa 2025.
Walivyomnyakua na tumbo lake🤣🤣🤣🤣🤣 hivi hizo tone tone sio upigaji kweli 😀🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kufanya hivi na CCM pia wanahamasisha wasipige kura. Wanazipa kuipa umaarufu "No Reform, No Electoon.
 
Hahahahahaha na lile tumbo lake Lissu anachekesha sana... ujuaji wa kitoto utammaliza!!

Nimecheka hadi DJ kaweka wimbo kakimbia kizimba 🤣🤣🤣🤣🤣
Siyo ya kucheka mkuu ni kuhurumia.

Ugomvi na polisi watanzania bado. Tukisikia huko Ukraine sijui raisi kakimbia nchi baada ya maandamano ya week nzima. Mpaka anakimbia raia kadhaa washachezea risasi.

Wazungu wakiamua kujitoa muanga wanafanya kweli, kuisumbua serikali sio shughuli ndogo.

Huku JF ahaa wanaona kazi nyepesi tu.

Lissu aachane na hiyo mikwara mbuzi kwa serikali
 
Walivyomnyakua na tumbo lake🤣🤣🤣🤣🤣 hivi hizo tone tone sio upigaji kweli 😀🤣🤣🤣🤣
Unapata faraja gani katika moyo wako unapo yashuhuda haya ?na furaha yako ni kwa ajili ya maslahi ya nchi au hako kakikundi kadogo kanako fuja pesa za hao raia kwa mgongo wa CCM? ni vipi unavyo iona hali hii baada ya wewe kufikisha niaka 70+? Au umekuwa blinded baada ya kuwa mzalendo kwa watu badala ya taifa lako?
 
Mapema sana washaanza yale ya 2024....hii nchi one day kitanuka kweli kama police haqatabadili namna yao ya kutreat raia...wanadamu huwa wanabadilika sana...wasijisahau...wacha waendelee kuwa picnic...
 
Hivi ndivyo hali ya kisiasa nchini Tanzania ilivyoonekana wakati Mheshimiwa Tundu Lissu alipokamatwa na police wakati wa mkutano wa "No Reforms, No Elections". Wananchi walikuwa wakipewa elimu ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ambayo za sasa hayana haki na yanakandam
View attachment 3298267
iza demokrasia. Katika tukio hilo, ripoti zinasema kuwa polisi walitumia mabomu ya machozi kutawanya umati, na hatimaye Mheshimiwa Lissu alikamatwa. Hii ilikuwa ni sehemu ya harakati za Chadema, chama chake cha upinzani, kupinga serikali inayotawala na kuhamasisha mageuzi ya katiba kabla ya uchaguzi. Wananchi wengi waliunga mkono wito huu, wakiunga mkono kauli ya "Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi", ikionyesha kusita kwao kushiriki katika uchaguzi bila mabadiliko ya kisheria yanayohakikisha uwazi na haki. Hali hiyo inaonyesha mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Tanzania kuelekea uchaguzi ujao wa 2025.
ccmu na baadhi ya watu wanaiingiza Tanzania shimoni , ukimzuia mtu kutumia mdomo kujieleza ipo siku atatumia mtutu kujieleza
 
Wamkamate na Nchimbi au Wasira...
Washaona watu wanamuelewa Lisu so wanaona bora wampige pini...ni kukwamisha tu movement....
 
Nikiwa Dar nilijulishwa na jamaa mmoja aliyedai anafahamiana naye sana, na walisoma wote. Akamwuliza, wamejiandaa vipi na elimu hii anayoitoa Lisu kwa wananchi, na kupokelewa kwa namna ya ajabu na wananchi? Mchimbaji akajibu kuwa hakuna uwezekano kabisa wa kubadilisha sheria wala kanuni za uchaguzi. Tumibadilisha ikawa wanavyotaka itabidi tuondoke hata kabla ya uchaguzi. Akasema, huyu wa kwetu kwanza anaumwa, pili hawezi hata kujieleza, atashindana vipi na TAL? Hatuwezi kuruhusu hilo.

Huyu rafiki akamwuliza, sasa mtafanyaje wakati huyu TAL anazidi kuungwa mkono? Mchimba akamwambia, ndiyo maana naenda Songea, pale hatahutubia, na ndiyo utakuwa mwisho wa NO REFORM NO ELECTION. Akiwa ndani tutazungumza na kuwapa nguvu wale walio ndani ya chama chake waliokuwa wanampinga.

Sikuzingatia story nzima, ila sasa naona ukweli wa nilichokuwa nimeambiwa. Mchimba alienda Songea kuandaa mazingira ya kumkamata TAL. Amekwishatekeleza. Tusubirie mengine waliyoyapanga kama watayatekeleza kama alivyosema.

NIlikuwa sijui, kumbe mgombea wao ni mgonjwa!!
 
Siyo ya kucheka mkuu ni kuhurumia.

Ugomvi na polisi watanzania bado. Tukisikia huko Ukraine sijui raisi kakimbia nchi baada ya maandamano ya week nzima. Mpaka anakimbia raia kadhaa washachezea risasi.

Wazungu wakiamua kujitoa muanga wanafanya kweli, kuisumbua serikali sio shughuli ndogo.

Huku JF ahaa wanaona kazi nyepesi tu.

Lissu aachane na hiyo mikwara mbuzi kwa serikali
Ukiwakuta wanavyotoa povu sasa 😂😂😂😂 yule malaya wao wa Nairobi anajiitaga mpiga spana anatia huruma balaa.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=_cvN0AYLofs

Sad part kwenye hiyo video DJ anapiga nyimbo kitiikio chake kina maneno “nchi ni hii polisi msitupige mabomu CHADEMA’ wakati jamaa wanasambaza kichapo.

Halafu huyo anaerekodi mwisho anaonekana anachungulia nyuma ya mlango alivyo muoga.

Ndio maana kila siku wengine tunawabia hizi siasa za Lissu atapelekea kuumiza watu wachache. Watanzania hawana uvumilivu wa virungu bado. Na hakuna serikali inayotetemeshwa kirahisi duniani kama Lissu anavyodhani.

Sasa hivi wabongo ndio kwanza wapo busy na drama za Manara, keshakinukisha huko mkewe.

Nataka nimwone Lissu akiingia kwenye Karandinga. Kumbe nyumbu walipata kipondo!
 
Ukiwakuta wanavyotoa povu sasa 😂😂😂😂 yule malaya wao wa Nairobi anajiitaga mpiga spana anatia huruma balaa.
Huyo mwoga ameshindwa hata kuja kumzika baba yake eti naye anajiona shujaa wakati ameogopa kuja kukaa rumande.
 
Back
Top Bottom