LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Polis wanafanya KOSA la kimkakati Sana, kwa hili wamempa point lissuWatu wanao shabikia chadema,Wana weakness kwenye brain,hv cdm kweli utaweza ongoza nchi hii
Polis wanafanya KOSA la kimkakati Sana, kwa hili wamempa point lissuWatu wanao shabikia chadema,Wana weakness kwenye brain,hv cdm kweli utaweza ongoza nchi hii
Kwani kazi ya chama Cha siasa ni kupambana na jeshi la polis?Wanachadema hamkuweza kuzuia Lisu asikamatwe
Si mnajitia wababe kuliko polisi? Ooh sisi Chadema tutazuia uchaguzi usifanyike
Lisu tu mumeshindwa kuzuia asikamatwe hayo ya kuzuia uchaguzi mkuu mtaweza mabwege nyie
Hongera Jeshi la polisi kuanza kuwaonyesha mapema kuwa mpo ngangari
Kiukweli kwa safari hii mama ana wakati magumu Sana, kuingiza polis kwenye mambo ya kisiasa sio...polis wawaache wanasiasa...Inasikitisha Sana...
Polisi waonywe waache kuonea vyama vya upinzani.
Siku zote vurugu zinaanzishwa na jeshi la polis kwa vyama vya siasa...Hivi ndivyo hali ya kisiasa nchini Tanzania ilivyoonekana wakati Mheshimiwa Tundu Lissu alipokamatwa na police wakati wa mkutano wa "No Reforms, No Elections". Wananchi walikuwa wakipewa elimu ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ambayo za sasa hayana haki na yanakandam
View attachment 3298267
iza demokrasia. Katika tukio hilo, ripoti zinasema kuwa polisi walitumia mabomu ya machozi kutawanya umati, na hatimaye Mheshimiwa Lissu alikamatwa. Hii ilikuwa ni sehemu ya harakati za Chadema, chama chake cha upinzani, kupinga serikali inayotawala na kuhamasisha mageuzi ya katiba kabla ya uchaguzi. Wananchi wengi waliunga mkono wito huu, wakiunga mkono kauli ya "Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi", ikionyesha kusita kwao kushiriki katika uchaguzi bila mabadiliko ya kisheria yanayohakikisha uwazi na haki. Hali hiyo inaonyesha mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Tanzania kuelekea uchaguzi ujao wa 2025.
Waulize Chadema hilo swaliKwani kazi ya chama Cha siasa ni kupambana na jeshi la polis?
Kumbe kwahili tuko pamoja Brotherwameanza.... halafu ti unaigia kwenye uchaguzi
HunizidiNaichukia ccm kama kinyesi
Wanawake bwana kutwa kisirani tu..Tandika kabisa,atie akili.
😅😅😅😅acha kumchafua jpmJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Wameshajibu za TL na Hoja za Wananchi😅😅Tunauliza,kazi imeanza?
CCM wakizidiwa kwa hoja hukimbilia bunduki na mabomu ya polisi, hiki chama kiko mahututi kinapumulia mabavu ya vyombo vya dola tu.Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.
TAARIFA KUTOKA CHADEMA
BreakingNews Mwenyekiti wa Chama wa Taifa Mhe. Tundu A. Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi wilaya Mbinga. Mhe. Lissu amekamatwa wakati alipomaliza mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 09 Aprili 2025 Jimbo la Mbinga, mpaka sasa haijulikani amepelekwa kituo gani cha Polisi. Mwenyekiti amekamatwa pamoja na wanachama wengine, kwa sasa Jeshi hilo linaendelewa kutawanya wananchi kwa mabomu uwanjani hapo.
--
View attachment 3298076
VIDEO: Muda mchache kabla ya Lissu kukamatwa
Muendelezo Wa Taarifa Iliyotolewa Na Godbless Lema Kuhusu Kukamatwa Kwa Tundu Lissu
Baada ya mkutano leo jioni saa 12:00 wilaya ya Mbinga, wakati wa kufunga mkutano OCD alimfuata Mwenyekiti Tundu Lissu Jukwani akamwambia tafadhali ukishuka hapo jukwani Ingia kwenye gari ya Polisi nakutaka Polisi kwa mahojiano.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3298243
Baadhi wa wananchi waliofika kwenye mkutano huo wadaiwa kujeruhiwa wakati polisi wakitawanya wananchi
Mh Lissu alimwambia nimefanya nini ? Huku akiendelea kuchangisha fedha ktk hadhara ‘ Tone Tone. baada ya kuona hiyo zogo , Kamanda Sosopi alimfuata OCD nakumwambia kama Lissu analo jambo na nyie pls mnaweza kuja pale tulipofikia mkamchukua kwa utaratibu hapa mtazua tafrani kubwa maana halaiki hapa ni kubwa,
Pia Mimi nilisisitiza Ushauri huo kwa OCD na wasaidizi wake wengine, alionekana kama anaelewa lakini ghafla mabomu ya machozi mengi yalianza kurindima.
Mh Lissu amekamatwa na sasa yuko kituo cha Polisi Mbinga.
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.

Byesige huwe hamnielewi.... My concern with Lisu is that:Kumbe kwahili tuko pamoja Brother