FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Kwani hao Prison na Kengold ni rahisi kufika quarter final ya haya mashindano kama alivyofika Al Masry? Kama sio , kipi kinachokufanya uibeze Simba Kwa kuitoa Al masry na kuiona timu yako ya maana na kujivunia medali ya kufika final baada ya kuzitoa Rivers utd na Malumo iliyoshuka daraja? Hao Rivers utd na Marumo wameizidi nini Al masry?
Basi kama wewe ni Bora kuliko malumo na Rivers nenda na iyo timu yako ufike fainali kama wenzako tuone!
 
Mkuu we acha tu, hii game imenipa ugumu mno kuiangalia

Nimeiangalia kwa vituo sana kutokana na situation niliyokutana nayo sikuweza kuiangalia kwa uhuru.

Cha msingi tumevuka.

Imebaki kufika fainali tu ndio mnayotudai.
Ewaaa! Mtulipe kwa kufika Final.

Japo kama Nchi tunazidi kuwaka Kimataifa na hii imafanya yeyote anayepangwa na Timu ya Tanzania apate woga wa namna ya kupata matokeo mana kwa miaka ya sasa imekuwa si kitu rahisi.
 
Ewaaa! Mtulipe kwa kufika Final.

Japo kama Nchi tunazidi kuwaka Kimataifa na hii imafanya yeyote anayepangwa na Timu ya Tanzania apate woga wa namna ya kutoboa.
Sio anaepangwa na Simba😆

Hakika mtani. Sasa hivi wakisikia Tanzania wanawaza mara mbili. Wanaota joto ya Lupaso
 
Dakika za mwisho niliona machela zinavyofanya kazi.

Hongera watoa huduma ya kubeba machela😂
Acha kabisa Mtani.

Ila hongereni kwa kulikimbia jina lenu pendwa la Mwakarobo. 😂😂
 
Nina furaha Mtani sababu mna asilimia chache sana za kusonga mbele na hii inatokana na nyie wenyewe hasa kwenye huu uzi vile mmejikatia tamaa. 😅
Walijitafutia penati wakapewa. Ona sasa wameipatia Simba milioni 40 za goli la yule mama. Ukiweka na zile 20 inaluwa 60😂
 
Sio anaepangwa na Simba😆

Hakika mtani. Sasa hivi wakisikia Tanzania wanawaza mara mbili. Wanaota joto ya Lupaso
Yah! Umekuwa uwanja mgumu sana kwa wapinzani Mtani.

Hivi mnakuja kukutana na timu gani Semi Final?
 
Back
Top Bottom