Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Yaani hapa naona kama Kajala kanipiga busu tu, kwani ndo umetukana mwenyewe?!!Zamani nilikuwa nikishtuka sana nikimuona mtu anamwita mwingine "wewe mbwa nini?"
Ila kwa sasa nimeelewa kuna watu wana akili kama mbwa tuu! Na wengine ni members wa JF