Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Fainali tunafika kwa hawa kina Stella ambao walipjipitisha.Ewaaa! Mtulipe kwa kufika Final.
Japo kama Nchi tunazidi kuwaka Kimataifa na hii imafanya yeyote anayepangwa na Timu ya Tanzania apate woga wa namna ya kupata matokeo mana kwa miaka ya sasa imekuwa si kitu rahisi.
Tutawafanya kitu ambacho kitawafanya waone mpira ni kitu cha kijinga kisichokuwa na uungwana.