moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Jiondoe rudi kwenu BurundiSimba wakitoboa nahamq chi
Jiondoe rudi kwenu BurundiSimba wakitoboa nahamq chi
Yaani leo, sijui nimeamkia upande gani Jadda hata sielewi. Toka mwanzo nilikuwa nawaombea mshinde, mmeshinda na bado kwa mara ya kwanza nikawapongeza 😍 hongereni sana. Furaha ndiyo kila kitu maishani.Mmhh kwa mara ya kwanza umetupongeza hivi tunashukuru sana mtani, by the way hiyo video naitafuta sijui naipata wapi hadi sasa sijaona imepostiwa popote, wakati wanaiweka machozi yalinilenga al manusura nilie na kupiga magoti kwa furaha sema tu nilikuwa mbele za watu nikajizuia
kama niliota vileHahaha dakika ya 37 simba anamla mwarabu
Aisee, watu wataua.Basi wakamdilulilu hakuna namna. Kuna mtopolo mwingine huku kasema zile penalty zilikua offside imebidi apigwe vibao vya kisogoni ku restore settings.
Sahv kalala kwa uchovu🙌🙌Ooh tate nanee🤣
😂😂Hakuna namna, tutapepeta mdomo wiki yote hii mpaka mtulie🚶♂️🚶♂️Hahahaaa. Sawa Mtani japo tutaishi kwa shida sana wiki hii. 😂😂😂
Ila hongereni bana.
Mpanzu mmoja ni sawa na Aziz Ki wawili pakome watatu unaongeza na Zengeli wawili�
Ugulia maumivuSiwapendiii Simba
Itakuwa kwenye ile draw ya robo fainali wanapanga hadi fainali bila kujalisha nani anacheza na nani huko mbeleRasmi Simba itaanzia home. Sijui wanazingatia nini
Kaskazini mwa Tanzania mdogo wangu. 🤣🤣Unaumia kutokea pande zipi za Nchi Dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
................................................
SISI nusu fainali kimataifa
WAO nusu fainali FA CRDB Cup
Yah! Nakuelewa sana Mtani.Miss you more mtani, yani hali yangu siwezi kuielezea kwa sasa lakini nadhani unaelewa, itoshe tu kusema TUMEVUKA 😍😍
Shukrani my Dear, huko ulikoamkia tunaomba uamkie siku zote, tumefurahi 😍😍Yaani leo, sijui nimeamkia upande gani Jadda hata sielewi. Toka mwanzo nilikuwa nawaombea mshinde, mmeshinda na bado kwa mara ya kwanza nikawapongeza 😍 hongereni sana. Furaha ndiyo kila kitu maishani.
Nawaona hadi fainali mkuuTunaenda sauzi mkuu [emoji3][emoji3][emoji3] Vincenzo Jr
fineSina haja ya kubishana, muhimu tumefuzu.
Yule alikuja kuzuia, kitendo cha kumpiga chuma 2 ndani ya dk 30,lazima wavurugike sasa unapozidi kumpelekea moto anapagawa zaidi.
Sidhani kama mwalimu ndio aliwaambia watulie wasishambulie ten, hakuna sehemu nimeona hilo.
😂Bina Chumchang Changchum njoo mshashinda.
Pole sana, sapoti yako ni muhimu ili tuendelee kuvuka zaidi hadi mwisho😂😂Kaskazini mwa Tanzania mdogo wangu. 🤣🤣
Na mwaka huu sijui ka maji yatanyweka. 😅
nchimbi katoa maelekezo mikutano ya ccm ifuate sheria, hatayeye ilivyokaribia saa 12 alishuka jukwaani na akasema wazi ni kwa sababu muda wa kufunga mkutano umewadiaMkuu umewahi kuona kiongozi wa CCM anashushwa jukwaani wakati akihutubia zaidi ya saa 12 jioni?
Vv