nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
88'
El Zamalek
Stellenbosch FC
0
1
Favourites
El Zamalek
Stellenbosch FC
0
1
Favourites
Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa sababu za Kitoto na Kipuuzi.Kuna yule member wa kujikatia tamaa mapema anaitwa GENTAMYCINE yeye alishaleta uzi kwamba tunaoamini Simba atafuzu kwenda nusu fainali tunapoteza muda.
Tulimuonya aache tabia mbaya ya kukata tamaa hasa kwa mwanaume ni dhambi.
Haya Simba huyo nusu fainali tena kwa ushindi mnono kabisa.
Tunaanzia wapi ugenini au nyumbani?Semi-final
Simba vs Stellenbosch
Zamalek wameikimbia Simba.
Nilishawahi kusema Stellenbosch ni timu ngumu sana, maandalizi yaanze.
Subiri tufyeke kichaka chako cha fainali sijui utajifichia wapi?Unajifurahisha wewe,,si unayo timu ya kufika fainali tusiandikie mate na wino upo fika fainali na wewe kama ni ni kidume kweli
AMEDUNGWA KIMOJAZamalek hali Tete huko
Safar yetu kuelekea final imapungua ugumuAMEDUNGWA KIMOJA
Dogo unazingua.Mods msinipige ban....nmeahirishaaa [emoji32][emoji32]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tunaanzia ugenini tena! Tutashangilia kuingia fainali tukiwa nyumbani!Tunaanzia wapi ugenini au nyumbani?
Aisee yani ulikua ni mzozo...huku moto huku fayaaaMweee dini na uchawi na mpira vyote mna ziconfuse au sio
Yani kila nyenzo ilitumika...Wakati Simba wameleta waganga, kweli Mwamposa angekuwa na Mungu wa kweli msingefungaz maana kachanganywa ma mashehe na waganga na hirizi
Karibu sana Unyamani mkuu tuendeleze "Ubaya Ubwela"Mm yanga damu ila nahamia simba jamani
Hawa jamaa wa madiba nimewacheki mzee sio poa.. wanaupigaHatimae muda wa kwenda kwa madiba umewadia.
See us in Capetown (Africa's most beautiful city)
Hata sasa BWANA ametusaidia.
Leo shemeji anapewa yoteeee ashindwe yeye tuuAisee yani ulikua ni mzozo...huku moto huku fayaaa
BWANA alituepushia na mabalaaa bora al masryHawa jamaa wa madiba nimewacheki mzee sio poa.. wanaupiga
Ni noma sana hao wazulu aisee...inabid tuwe makin sana ...Hawa jamaa wa madiba nimewacheki mzee sio poa.. wanaupiga
Hahaha ile ajali kazini. Ila hawa wa leo sio waatabu hawa wapemba...waarabu gani ata gusa achia twende kwao hawawezi.....hawa kengold iliyochangamkaUmesahau Utopolo Alitakiwa Ashinde Goli Moja Taifa Ila Akashindwa Akatolewa 16