FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Matokeo yoyote yasiyo ya sare yatanisikitisha.
Sitaki 5imba afungwe, lakini pia sipendi ngebe zao.
Nazitakia timu zote mbili, mchezo mzuri, watazamaji waburudike.
 
Madhila yaliyowapata Horoya, J Galaxy, Kaizer Chiefs au AS Vita yampate pia Al Masry.
Shida leo Chama hayupo. Alichangia sana kwenye ushindi wa mechi tajwa hapo juu. Angekuwepo Chama hata kule Misri Simba angeshinda. Jamaa anajua sana kutengeneza magoli ya wazi ingawa ameshindwa kuendana na mfumo wa kasi wa uchezaji wa Yanga.
 
Nishavaa jersey yangu ya Mwananchi, niwahi Taifa nikamshangilie mwarabu. Sema leo Dar jua linawaka sana.
 
Hii mechi nilifikiri inachezwa kuanzia saa 1 jioni! Dah! Nimeiokosa hivi hivi.
 
GOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO9OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOLLLLLLLLLLLLLLLLLLL

NAMNA GAN PALE MAKOLO WANASHINDILIWA MSUMARI WA MOTO
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…