FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025

Hii timu ipewe ufalme wa kuroga wee. Wamewawekea mawe waarabu wa watu, kisa kule kwao madunduka hawakuwa na access ya uwanja kufanya yao. Ila sijapenda 😜😜😜😜
Duh!...mtaani yamekuwa hayo tena....πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Hayaaa leooo ni kugegedana tuuuu...ni simbaaaaaaa sports cluuub
Wameringa nusu fainali
 
Hii timu ipewe ufalme wa kuroga wee. Wamewawekea mawe waarabu wa watu, kisa kule kwao madunduka hawakuwa na access ya uwanja kufanya yao. Ila sijapenda 😜😜😜😜
Wanga sana hawa jamaa, Al Masry wenyewe wabovu na bado wamewaroga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…