Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
HakikaTuendelee kupasha kujiandaa na CAFCL QF dhidi ya mwarabu.
Tutashinda Inshallah!!Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex.
View attachment 2935409View attachment 2935408
Tumewashtukia Azam na Uto.Acha uoga kacheze mpira nani wa kukuhujumu..
Ulikua wapi leo mkuu, nikasema mechi sio leo niniTutashinda Inshallah!!
Waite na wenzio muweke kambi hapaMashujaa chukueni point 1 hapo.
Hapa si pakutoka.Waite na wenzio muweke kambi hapa
Maana jana penu palipoa hapa usitokeHapa si pakutoka.
Jana ilikua Alhamis, leo weekend Ijumaa tumewahu kutoka kazini. Baada ya futari tu nipo hapa napiga domo.Maana jana penu palipoa hapa usitoke
Acha kutupotosha mlishikwa haswaaJana ilikua Alhamis, leo weekend Ijumaa tumewahu kutoka kazini. Baada ya futari tu nipo hapa napiga domo.
Vyura wanatetemeka sana.Tuna taarifa watu wanataka kutuhujumu.
Ila Mashujaa hamtaamini kabisa macho yenu!!
Ndoo tushaichukua. Gepu la point 10 kubwa sana. Tuliwaonea huruma GG wasijekula 5 zikawacost kwenye kushuka daraja.Acha kutupotosha mlishikwa haswaa