FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Prison ni MAMMBWA tu. baada ya kujiona wameifunga simba wakaja kulakichapo kwa Mtibwa..nguvu ya soda.
Ile mechi tumejifunga wenyewe hatuna wa kumlaumu kitendo tu chakupeleka mechi ya home jamhuri lilikua kosa lakwanza
 
Kwanini??

KASI!!! KASII!!!!.....Jamani wachezaji wengi wamechokaa!!!, Hii pasi mchezaji unaona kabisa haifiki, kwanini mseme Bora Sasa

Tunajidanganya.....HAKUNA NUSU FAINALI.....tuambiane ukweli SIMBA Bado Ni mboooooovu sanaaa!!;;

Tukana ila MOYONI nimekugusa....kwanini???? UONGOZI UONGOZI MBOVUUUUU SANAA!!!

MFANO:Kocha falsafa yake mpira wa Kasi, mnampa wachezaji 90% wapo so so so so slow.....Alafu mkiambiwa ukweli mnachukia nipo NI SAWA......nipo paleeeeee na post yangu hii nimetulia ok?????
 
Kinachonishangaza pamoja na Yanga kuonekana kama imeshinda mechi nyingi kwa goli nyingi nyingi msimu huu, ila kumbe mpaka sasa tofauti yake ya magoli ya kufunga na Simba ni magoli 9 tu.

Kilichoiua Simba msimu huu ni kuruhusu magoli mengi, hadi Coastal amefungwa magoli machache na wakati amecheza mechi mbili zaidi. Pia kukosa magoli mengi ya wazi. Poor finishing. Wachezaji wanaonekana wana misuli ila hawana nguvu kabisa za kupiga mashuti, wakifika golini wanataka magoli ya kudonoa donoa.

Toka enzi za Robertinho, sijawahi kuona Simba wakifanya mazoezi ya kupiga mashuti golini kwa hiyo hii haipo hata katika mentality ya wachezaji.
 
Back
Top Bottom