Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ile mechi ya simba kufungwa na prison ndo ilifanya hesabu kuwa ngumu sana kwa simbaKuhusu Ubingwa tujipange next season ila msimu Yanga yuko fara na kwa fomu yake kupoteza mechi ngumu na kama atampiga Azam kesho kutwa basi ubingwa 95% upo kwake.
sababu mtaji wa point 7 kwa Yanga ni nyingi sana kwake