FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Wakuu imebaki mechi ngapi ngapi kwa Yanga na Simba
 
90' mpira upo kwa mashujaa wanapigiana pasi

Onana anapiga chenga mabeki ndani ya box la mashujaa ila beki anamzuia asifunge
 
92' mpira wanao simba....unaelekea kwa jobe ila wachezaji wa mashujaa wanautoa nje
 
Dakika ya ngapi wakuu, hii timu dah
 
Back
Top Bottom