feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Bora tuanze na vile vitotoHao wa ndani kina Chasambi sijui wataaminiwa lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora tuanze na vile vitotoHao wa ndani kina Chasambi sijui wataaminiwa lini
Tumesha piga Cha pili..
Kama pacomeHata apige hat trick inaeleweka ni mchezaji wa mechi ndogo
Wakashinda 2 kwa 1Utopolo walihangaika hivi hivi kwenye mechi na Mashujaa
Hata hao wakiingia hakuna watafanya timu haina muunganiko hiyo...labda akiend pre season atengeneze muunganiko.Kuna balua
Kuna miqquissone
Kuna chasambi
Kuna karabaka
Mungu ampe nini huyu kocha
HaswaaUnyama mwingi
Mkuu,Hata apige hat trick inaeleweka ni mchezaji wa mechi ndogo
Hata mi naona ingekuwa vizuri,hawa wakubwa hawawezi kubadilikaBora tuanze na vile vitoto
Wacha weeMchezaji wa mechi ndogo kwenye ubora wake, haha
Mechi ndogo kwenye ligi zina point ngapi na mechi kubwa zina point ngapi?Hata apige hat trick inaeleweka ni mchezaji wa mechi ndogo
Moderator kaishiwa bundle