Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Zaidi ya goli tanoHizi Kolo wakija kucheza tena na yanga kuna dalili za goli tano kujirudia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya goli tanoHizi Kolo wakija kucheza tena na yanga kuna dalili za goli tano kujirudia
Kutimiza matakwa ya kisheria lakini pale msimbazi mentor eti ni MangunguHuyo CEO anayesema mafanikio ni WhatsApp wamemweka ili mradi timu ionekane Ina Ceo
Kama ninyi janaHata hilo mlilopata hamna furaha nalo
Ropokeni tuZaidi ya goli tano
Mangungu ana mamlaka gani wakayi kwenye vikao anakua kam mjumbe sio mwenyekiti. Mo ndo anaharibu hii timu kwa kujaza machawaKutimiza matakwa ya kisheria lakini pale msimbazi mentor eti ni Mangungu
Atakua labda alipiga Sana show za usiku plus morning Glory 😊😊😊Kibu mwili mkubwa anahangaika ovyoovyo
Kuna baluaAtaingia nani? Wachezaji aliokuta ndo hao [emoji16][emoji16]
Hao wa ndani kina Chasambi sijui wataaminiwa liniNi wa 4 tu Inonga,Ngoma,malone(anapiga kazi kubwa ila makosa mengi) ,ngoma kakosa viungo wa maana kumsaidia ,chama maji ya jioni.Ayubu hana footwork mzuri tukikutana na timu inayopress kazi ipo...Shomari na Hussein atleast ila nao hawana winga za maana kuwasadia.
Hata hilo mlilopata hamna furaha nalo