FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Kutimiza matakwa ya kisheria lakini pale msimbazi mentor eti ni Mangungu
Mangungu ana mamlaka gani wakayi kwenye vikao anakua kam mjumbe sio mwenyekiti. Mo ndo anaharibu hii timu kwa kujaza machawa
 
Ni wa 4 tu Inonga,Ngoma,malone(anapiga kazi kubwa ila makosa mengi) ,ngoma kakosa viungo wa maana kumsaidia ,chama maji ya jioni.Ayubu hana footwork mzuri tukikutana na timu inayopress kazi ipo...Shomari na Hussein atleast ila nao hawana winga za maana kuwasadia.
Hao wa ndani kina Chasambi sijui wataaminiwa lini
 
Back
Top Bottom