FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

Wengi mnasema Bora Babra arufi lakini mnachosahau aliyekuwa akifanya usajiri kwa kiasi kikubwa ni marehemu Hanspope kwa sababu alikuwa akitoa pesa mfukoni na Simba inapopata pesa alikuwa akikata pesa anazotoa.
 
Mkuu Babra ni afadhali kuliko Kajuni,jamaa anakuja kwenye mkutano na kusema mafanikio ni ngao ya jamii na WhatsApp channel na anajisifu?
 
Hii timu wachezaji wanatakiwa kila mechi halftime wakienda vyumbani maelekezo yatolewe kwa viboko,kosa moja viboko 10, mtu kama Fredy fimbo 90
Kwa timu ya sas wachezaji wanaostahili kubaki hawazidi 5
 
Back
Top Bottom