Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tupo sawa, Sidhani kama yanga ataweza kupoteza mechi mbili na draw halafu Simba ashinde zoteYanga 12
No one knowsLeo tupo sawa, Sidhani kama yanga ataweza kupoteza mechi mbili na draw halafu Simba ashinde zote
Mbinafsi sana huyo jamaa ndio maana alichemka huko ufaransaSaido akili inataka ila uwezo unamkataa na hataki kukubali anakuwa mchoyo
Sure!No one knows
Ligi imeisha hii tujipange next seasonLeo tupo sawa, Sidhani kama yanga ataweza kupoteza mechi mbili na draw halafu Simba ashinde zote
Hilo lakoAhsante Mangungu.
Mechi 19 woteBado tuna kiporo na mtibwa so mmetutangulia mechi moja
Bado sanaLigi imeisha hii tujipange next season
We acha tu..! Ingekuwa 3 -0 ..Nani huyo?
Hesabu gani hii?Ball possession 64%-34 %mashujaa
Msimamo wa ligi unaonyesha wote (Yanga vs Simba) wamesha cheza michezo 19, hicho kiporo labda cha ugali wa mihogo na kisanvu.Bado tuna kiporo na mtibwa kwahiyo wametutangulia mechi moja
Kuhusu Ubingwa tujipange next season ila msimu Yanga yuko fara na kwa fomu yake kupoteza mechi ngumu na kama atampiga Azam kesho kutwa basi ubingwa 95% upo kwake.Zimebaki kama mechi 10 hivi, aisee ubingwa tusahau
Na kile kiporo kimehesabiwa ndani ya hizo mechi auMechi 19 wote