FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

FT: Simba SC 2 - 0 Singida Fountain Gate | Mapinduzi Cup| Aman Complex | 03.01.2024

Siku tamu sana hii, ushindi dhidi ya vikaragosi wa uto na uto princes
FB_IMG_1703050377268.jpg
 
Ila faulo nyingine mpaka unashangaa kama za mizimu vile. Sasa hii faulo gani naye huyu Kapombe, daah😩
 
Humjui vzur huyo, tuachie sie tunaomjua dyadyaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nenda juu kabisa kaone alisemaje.
Ni kawaida kusema hivyo ...badae unajirudi huwezi kushabikia mpinzani mwanzo mwenga...ukiona mambo yanaenda ndivyo sivyo unarudi online...
 
Back
Top Bottom