3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Umelia kwa uchungu sana mkuuGoli la pili la simba halikupaswa kukubaliwa. Tuna waamuzi wa hovyo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umelia kwa uchungu sana mkuuGoli la pili la simba halikupaswa kukubaliwa. Tuna waamuzi wa hovyo sana
Deal done 2-0LOADING FT??BADOOUKO
Acha utani mkuu.....Unateseka ukiwa wapi?
Ha ha ha naona anajifuta na mkono mkuuMrushie kitaulo apukute machozi 🤣🤣🤣
Lile goli liliingia, wakati Tabora wanalalamika kuwa ni goli Simba tukashambulia tukafunga, jambo sahihi kabisa wachezaji wetu wamefanya kutumia nafasi.Toa sababu
Magoli ya Morrison hayo mbona hawakua wanalalamika?? Acha Simba wafunge sbb zitajulikana baadae.Lile goli liliingia, wakati Tabora wanalalamika kuwa ni goli Simba tukashambulia tukafunga, jambo sahihi kabisa wachezaji wetu wamefanya kutumia nafasi.
Kiuhalali lile ni goli kwa TBora na refa angeweka kati tusingefunga la pili sababu move ya goli la pili imetokana na Tbora kuduwaa wakisubiri filimbi kuwa wamefunga,Goli lilipaswa kuwa halali ila kuna ilivyo na inavyopaswa kuwa, ilivyo ni sisi Simba tumefunga goli 2 na wala haturingi maana kuna siku na sisi yataweza kutukuta na wenzetu hawataringa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimemkumbuka Mzee Guede
La Kagera vipiNa TFF watakaa kimyaaaaaaaa
Ishaisha hiyo, raha yangu ni kuwa Simba hawakuzubaa, waliwakanda katikati ya malalamiko, yaani unafiwa halafu marehemu wako anauwawa.Magoli ya Morrison hayo mbona hawakua wanalalamika?? Acha Simba wafunge sbb zitajulikana baadae.
Hao ndio size yenu mmekutana na wajomba zenu 🤣🤣🤣angalia msife.
Cha pili cha moto kabisa