ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Simba wanacheza rafu tu.kama mashujaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wanacheza rafu tu.kama mashujaa
Refa ni wenu.Nani kavunjwa?
Tulieni dawa iwaingie.
Simba ni timu ya kizalendo sana..Watanzania 6 ndani ya kikosi cha kwanza.Kikosi cha Simba Kinachoanza.
View attachment 2982649
🐕Leo wanakutana pipa na mfuniko
KaogeMbona mods mmeweka 1 kwa Simba wakati walioshinda ni Tabora...?🤸
Anafanyaje? Tuko mbali na televishenihuyu ngoma hamna kazi 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Mpaka mate yawaishe mdomoni...Tabora hebu kazeni huko ebooo!!
Aaah hawa tabora hebu wajikaze, au mshawakaza?🙆🙆🙆Mpaka mate yawaishe mdomoni...
akipoteza mali anacheza sana rafu atoi pasi kwa wakatiAnafanyaje? Tuko mbali na televisheni
Chochote tu ilimradi waondoke na point 3.Wakaze makalio labda 😂😂😂